kitalembwa
JF-Expert Member
- Jul 12, 2014
- 8,277
- 22,073
ndipo akili yako ilipoishia kufikiri.....sitakulaumuHata hili swali lako ni dalili ya kifo kuwa makini.
Kama akili yako ingekuwa na upeo mpana wa kufikiria usingeleta hoja za namna hii huku.ndipo akili yako ilipoishia kufikiri.....sitakulaumu
mkuu sio lazima kukomenti kila uzi..hii ni mada pana na fikirishi...ni vyema kupita kimya kimya! kukaa kimya ni busara zaidiKama akili yako ingekuwa na upeo mpana wa kufikiria usingeleta hoja za namna hii huku.
mkuu sio lazima kukomenti kila uzi..hii ni mada pana na fikirishi...ni vyema kupita kimya kimya! kukaa kimya ni busara zaidi
Kweli kabisa migogoro mingi ya mirathi inasababishwa na kutokuwepo kwa wosia wa marehemuMkuu kimbuka kuandika wosia si kwamba ndio mwisho wa uhai bali ni kuweka utaratibu anuai juu ya mgawanyo wa mali zako kwa warithi wako baada ya umauti
Kumbuka watu wengi hupoteza haki zao kutokana na sintofaham ya wosia
Kweli kabisa migogoro mingi ya mirathi inasababishwa na kutokuwepo kwa wosia wa marehemu
Imani potofu kweli hii, vipi wewe tayari umeshaandika wosia wako?Shida yetu sisi ni moja kwamba wosia ni kujichimbia kaburi kabla ya wakati
Awe makini ama asiwe! Safari inamuhusuHata hili swali lako ni dalili ya kifo kuwa makini.
Imani potofu kweli hii, vipi wewe tayari umeshaandika wosia wako?
ila wewe why hutaki kunisikia?Na wewe sio lazima usome nachoandika humu ni vyema ukanyamaza au kupita kimya.
Na ukishaleta mada humu hupangi ni nani unataka atoe maoni kuhusu mada yako. Ni kama uchi wa mwanamke anaejiuza huwezi kuung'ang'ania kuwa ni wako kisa umelala nae usiku mmoja.
Karibu.
ila wewe why hutaki kunisikia?
mgomviMadame kivipi tena! [emoji15]
mgomvi
wewe huyo??? Sio kwa ghafla sema mepunguzaNimeacha kuanzia leo. [emoji120][emoji120]