Niko pande za west lake kwa muda kidogo kama miaka 10 hivi.
Katelelo
Kwanza katelelo ni neno la kihaya lenye maana ya neno "kapigio" eneo hili ambalo ni katelelo ya leo liikuwa ni eneo lililowahi kufanyikia kwa mapigano ya tawala mbili za kizamani zaidi ya mara moja. Yaani hilo eneo ndo lililobahatika kufanyikia vita zaidi ya mara tano huko miaka ya ujima na kusababisha paitwe hilo jina la uwanja wa kupigia ama kupigania hapo zamani zamani zamani za kale. Nimechoka kuandika tutaendelea kesho kujua ni tawala gani zilikuwa zikitundana hapo mbugani na kusababisha paitwe jina la uwanja wa vita mpaka leo