hahaa si mchezo.lkn tukirudi ktk topic,ww unasema umeanza ukiwa 15 yrs old,ulikuwa bado mdogo sana,lkn cha kuhuzunisha ni kwamba,ww pamoja na kuanza mautundu mapema unaweza kuamua kuwa hutaki kuoa asiye bikira,na hakuna atakayehoji kwa nini ww huna bikira,lkn binti akiaanza haya mautundu ktk umri ulioanzia ww si ndio hao mnaosema kawa tambara limeburuzwaaa nani aoe,unajua sitetei mabinti wasitunze bikira zao hapana,bali sielewi tu kwa nini nyie ni sawa mpotezee zenu lkn sisi tukipotenza inakuwa maneno mengi!