Mnafiki ni mnafiki mtu!... Mtu mwenye husda utamwona tu... Mtu mwenye kijicho anaonekana tu!... Hapa ni kazi moja ID nyingi watendaji walewale... kujichanganya kila wakati... kubadilishana kila wakati.. Mchana kutwa , Usiku kucha ni kukesha mitandaoni tu kutetea vitu visivyo na tija
cc Mohamed mtoi
Mwita Maranya
Molemo
Mungi
Aweda
"Huo ni uzushi kama ule wa jana katika jamii forum na leo katika gazeti la udaku la Mtanzania Daima." kwa hiyo kama Jamiiforums ni wazushi, basi hata wewe ni mzushi. Mbona uko hapa jamvini? Hebu nikuulize. Ina maana hata haya uliyoandika hapa Jamiiforums ni ya kizushi? Kama lililoandikwa jana hapa ni la kizushi, kwanini niamini hili la kwako uliloandika sasa? Kwanini nisikubali tu kwamba yote ni ya kizushi kwa sababu yote ni ya Jamiiforums? Kwa ufupi HUNA HOJA. Mahali pengine umeandika: "Inaelekea wewe hujui technology inavyofanya kazi, hivi picha za kivita unazozionaga unadhani zote ni za kweli?" kwa hiyo na ile video mliyodai kuwa ni ya Lwakatare akipanga mauaji ni ya uongo? Si nyie mlisema ni ya kweli? Wekeni tofauti ya wazi hapa tuione. Msituletee mambo ya giza hapa.
Tanzania Daima ni gazeti la udaku.
TANZANIA DAIMA ni gazeti la UDAKU.
Tanzania Daima ni gazeti la udaku.
Acha jazba, halafu wakati mwingine usipende kuandika kama huwezi kuchambua mambo. Siko hapa kufundisha ila ngoja nikusaidie maana huenda hujui "Huo ni uzushi kama ule wa jana katika jamii forum" inazungumzia thread moja tena ya jana na sio kila uzi tangu jamiiforums ilipoanzishwa. Ni tofauti na ulivesema hivi. Kwanza ngoja ninukuu isijesomeka kwamba nami ni shallow analizer kama wewe. Naanza kunukuu " Kwa hiyo jamii forums ni wazushi," mwisho wa kunukuu maana sitaki kupoteza muda na poor analizer kwani nikendelea huenda ukaikimbia jamiiforums kwa jinsi utakavyogundua kwamba uko mweupe peeeeeeeeeeeeeeee kichwani mwako!
lazima ulione la udaku sababu linaandika yale usiyo yataka wewe lakini yanatakiwa na asilimia kubwa ya watanzania.we soma uhuru ni saizi yako sababu linaandika unayo yataka wewe.Tanzania Daima ni gazeti la udaku.
Nenda kasome Uhuru. Na Jambo Leo.Tanzania Daima ni gazeti la udaku.
Ole Medeye; atangaza vita na wachaga asema watapigana kwa silaha zote kuwagoa Arusha - YouTube
Ole Medeye; atangaza vita na wachaga asema watapigana kwa silaha zote kuwagoa Arusha - YouTube acha kutokwa na povuuu huyo mwandishii kwa kiasi kikubwa anaaminika kwa sababu alitoa na ushahidi wa picha ya video. Sasa kama wewe ulikuwepo tutafsirie hii video yenye linki hapo juu na utuambia mlikuwa mnazunguzia nini mlipokuwa mnawataja wachaga moshi kwenye kikao chenu cha malaigwanani..