Heshima yenu wanajamvi!
Nikiri kuwa mwanzoni kabisa mwa mahusiano yetu na mama watoto nilikuwa mchepukaji mdogo mdogo na kuna mchepuko mmoja akapata mimba, ukatokea ugomvi kati yangu na njia kuu,nikajishusha saana kwa yf akakubali kunisamehe sikupenda tuachane coz alikuwa na mtoto mdogo Wa miezi kadhaa.
Tatizo ni miaka mitatu sasa mwanamke bado analiongea as if limetokea jana kila siku tunagombana kosa nlilofanya 3yrs back. Nmechoka kujishusha. Kwa wazoefu tafadhali naombeni njia mbadala ya kuepuka kutukanwa.Nawasilisha
Miaka mitatu ishu haiishi? Mwanamke ana gubu mpige mimba nyingine na muoe sasa muda umeenda.
Umetongoza, umefanya nje mpaka kuzaa (with all family planning methods? u cant even pull out?) dude inauma maumivu yake ni balaa ukifanya kosa unatonesha kidonda.
Vumilia tu maana kukubali kuendelea kuishi na wewe kaonesha ukomavu wa hali ya juu.
Heshima yenu wanajamvi!
Nikiri kuwa mwanzoni kabisa mwa mahusiano yetu na mama watoto nilikuwa mchepukaji mdogo mdogo na kuna mchepuko mmoja akapata mimba, ukatokea ugomvi kati yangu na njia kuu,nikajishusha saana kwa yf akakubali kunisamehe sikupenda tuachane coz alikuwa na mtoto mdogo Wa miezi kadhaa.
Tatizo ni miaka mitatu sasa mwanamke bado analiongea as if limetokea jana kila siku tunagombana kosa nlilofanya 3yrs back. Nmechoka kujishusha. Kwa wazoefu tafadhali naombeni njia mbadala ya kuepuka kutukanwa.Nawasilisha
Kusahau ni ngumu sana, na kama umempenda mtu kwa moyo wote na uaminifu halafu anachepuka na kuzaa kabisa mtoto inauma sana yeye avumilie tu matusi hakuna namnaNdugu kuna usaliti mwingine ni ngumu kusahau. Haswa kama mke alimpenda mchiz kutoka moyoni halaf akatendewa hilo.. ni so painful na inachukua miaka kusahaulika
[emoji23] [emoji23] [emoji23] utavumilia kweli! Kama hautaanza kupata pressure!Mhh sitongea hats kidogo