Dhambi ya kuangalia picha za ngono

Dhambi ya kuangalia picha za ngono

Picha za ngono/pilau kuna wizi, uasherati, uongo nk.

Dhambi ziko nyingi kweli hata kutamani Bibi/Babu asiye wako, ntasoma vizuri kesho labda sijaelewa leo.
 
Picha za ngono/pilau kuna wizi, uasherati, uongo nk.

Dhambi ziko nyingi kweli hata kutamani Bibi/Babu asiye wako, ntasoma vizuri kesho labda sijaelewa leo.
Are trying to justify the behaviour of viewing nudes ?

Sent from my Priceless H40-D00 using JamiiForums mobile app
Una hararisha utazamaji wa picha za utupu ?
 
Are trying to justify utazamaji wa picha utupu ?

Sent from my Priceless H40-D00 using JamiiForums mobile app
Ungeniandikia tu kiswahili toka mwanzo, hatufanani mitazamo nachanganua tu dhambi zingine.
 
Picha za ngono/pilau kuna wizi, uasherati, uongo nk.

Dhambi ziko nyingi kweli hata kutamani Bibi/Babu asiye wako, ntasoma vizuri kesho labda sijaelewa leo.
I second you, jamii ishaona walevi kama wadhambi sana kuliko waongo. Dhambi ni dhambi tu
 
Asantee sana Mungu atunusuru na vizazi vyetu
 
Kuangalia picha ama video za ngono na ufanyaji wa punyeto zote ni DHAMBI mbele za Mungu.

Halafu mbaya zaidi inaondoa uhusiano mzuri wa Mungu na Mwanadamu na inamuondoa kabisa Roho wa Mungu ndani ya mtu huyo.

Athari kubwa zaidi ni kuwa...kufanya hivyo kunamfanya Mungu asijibu maombi yako kabisa.

Hata kama alikuwa karibu kukujibu ombi lako la muda mrefu basi hatojibu tena.

Hizi ni dhambi zinazoondoa uwepo wa Mungu kwa mtu...Mungu anakuacha upambane mwenyewe.

ahsante kwa ujumbe mzuri, nami nilikuwa mhanga wa hili tukio, nimekuwa nikimwomba Mungu anipe macho ya uadui nisitamani tena kuangalia...na by the way sijawahi tazama nikaenjoy zaidi ni kupiga nyeto na baada ya apo kujutia nilichokifanya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom