Dhamana ya mbunge wa Arusha, Godbless Lema

m2020

JF-Expert Member
Jul 10, 2016
979
1,353
Kwakuwa amelia xmas na mwaka mpya ndani ya chuo cha mafunzo kisongo arusha.

Naamini karibu ataruhusiwa kuwa day scholar/student badala ya boarding student.

Namtakia kila la heri katika elimu yake ya mafunzo mheshimiwa mbunge wetu wa Arusha kwa mwaka huu 2017.
 
Ajifunze siasa za kiungwana. Hii habari ya kuota mambo ya ajabu Apache.
 
Back
Top Bottom