Dhamana ya Mbunge Machemli: Hakimu katokomea na Faili la kesi

CARLOS MAJURA

Senior Member
Joined
Mar 7, 2013
Posts
192
Reaction score
69
Kama vile ni njama za kumkomoa mbunge wa UKerewe, hakimu wa wilaya hiyo haonekani ofisini ikwa ni baada tu ya kumfutia dhamana mbunge huyo. Kwa mujibu wa taarifa ambazo zimethibitishwa na watu mbali mbali (wakiwemo watumishi wa mahakama wilayani ukerewe) hakimu huyo alionekana akipanda meli kuelekea Mwanza siku ya tarehe 7.11.2013, ikiwa ni siku moja baadaya kumfutia dhamana mbunge Machemli. Taarifa ambayo imetolewa na katibu wa chadema wilaya ya Ukerewe Bw Poul Mfumu inasema kuwa wao walikamilisha masharti ya dhamana tangu ijumaa na walipokwenda mahakamani waliambiwa hakimu amesafiri na jalada la kesi halionekani, hivyo warudi siku ya Jumatatu. Hata hivyo leo waliporudi mahakamani hadithi imekuwa ile ile kwamba hakimu yuko safari. Katika sura hii sasa watu tunaanza kujiuliza Je, hivi sasa siasa zimeingia ndani ya Vyumba vya Mahakama?
 
asiogope kukaa mahabusu, raia wa kawaida hukaa sana huko na mara nyingi ni kwa kubambikwa tuhuma. kama vipi Mh. Machemli kawashe taa kwa wafungwa, wakitoka huko watakuwa mtaji wa kisiasa.
ingawa hivyo pole mh.
 
Mahakama hapa Tz ni ccm, ndo maana Tundu Lissu aliposema picha ya M/kiti wa ccm iondolewe kwenye Mahakama, Wabungeccm walitaka kunywa sumu.
 
Yego masika, vile vimamba vya kwenye glass za maji vimeisha? Kama vipo, mtumieni kamamba kamoja akinywa maji kamkamate na kumrudushe aoneshe faili lilipo.
 
watanzania hatuna pa kukimbilia tena kama mambo ndo haya !!!!!???!!!
 
Afanye siasa jela watamtoa chap maana ataonekana ni hatari kukaa jela kuliko kuwa nje.
 
Kama vile ni njama za kumkomoa mbunge wa UKerewe, hakimu wa wilaya hiyo haonekani ofisini ikwa ni baada tu ya kumfutia dhamana mbunge huyo. Kwa mujibu wa taarifa ambazo zimethibitishwa na watu mbali mbali (wakiwemo watumishi wa mahakama wilayani ukerewe) hakimu huyo alionekana akipanda meli kuelekea Mwanza siku ya tarehe 7.11.2013, ikiwa ni siku moja baadaya kumfutia dhamana mbunge Machemli. Taarifa ambayo imetolewa na katibu wa chadema wilaya ya Ukerewe Bw Poul Mfumu inasema kuwa wao walikamilisha masharti ya dhamana tangu ijumaa na walipokwenda mahakamani waliambiwa hakimu amesafiri na jalada la kesi halionekani, hivyo warudi siku ya Jumatatu. Hata hivyo leo waliporudi mahakamani hadithi imekuwa ile ile kwamba hakimu yuko safari. Katika sura hii sasa watu tunaanza kujiuliza Je, hivi sasa siasa zimeingia ndani ya Vyumba vya Mahakama?

Kwani na yeye alijipeleka kama LEMA? au nini kimemsibu?
 
hakimu haruhusiwi kusafiri na fail la kesi wala sio wanaohifadhi mafaili
wana makarani wao
na hakimu mwingine hawezi kumpatia dhamana huyo mbunge
akae huko asubiri tarehe alioandikiwa kurudi atapewa dhamana
inawezekana kaenda mwanza kikazi kwa msajili
tusianze kusema kama watu wa vijiweni
 
asiogope kukaa mahabusu, raia wa kawaida hukaa sana huko na mara nyingi ni kwa kubambikwa tuhuma. kama vipi Mh. Machemli kawashe taa kwa wafungwa, wakitoka huko watakuwa mtaji wa kisiasa.
ingawa hivyo pole mh.

Yego masika, vile vimamba vya kwenye glass za maji vimeisha? Kama vipo, mtumieni kamamba kamoja akinywa maji kamkamate na kumrudushe aoneshe faili lilipo.

Two nonsense jokes! No wonder stupidity among government officials will hardly be eradicated.
 
Inamaana hata hiyo Schrondinger equation haina solution kwa hizo stupidity za government officials?
 
Ni vema aanze M4C kwa kutekeleza CDM ni msingi humo humo jela,pia atoe somo la uraia sana,akifundisha uraia kwa masaa 6 tu wao wenyewe watamtoa maana najua impact yake gerezani hapatakalika,migomo ya kugomea cahkula itaanza mara moja,bugudha kwa mahabusu itaanza mara moja kwa kudai haki zao.kwa kufanya hivyo watamtoa soon.
 
Afanye siasa jela watamtoa chap maana ataonekana ni hatari kukaa jela kuliko kuwa nje.

Ni vema aanze M4C kwa kutekeleza CDM ni msingi humo humo jela,pia atoe somo la uraia sana,akifundisha uraia kwa masaa 6 tu wao wenyewe watamtoa maana najua impact yake gerezani hapatakalika,migomo ya kugomea cahkula itaanza mara moja,bugudha kwa mahabusu itaanza mara moja kwa kudai haki zao.kwa kufanya hivyo watamtoa soon.
Huo ushauri mnaompa utamfikiaje? au mnafikiri huko jela kaenda na ipad au smartphone?
 
muulize mbunge MAGDALENA SAKAYA alisha wekwa selo moja na wanaume kwa siku 3 huko tabora,hii serikali ina double standard ila ipo siku na wao wakiwa wapinzani hivi viboko wanavyo tumia kuwachapa wenzao watachapwa na wao
 
Huo ushauri mnaompa utamfikiaje? au mnafikiri huko jela kaenda na ipad au smartphone?

Viongozi,wana ndugu,marafiki wanaokwenda kumuona huko jela watamfikishia ushauri wa wadau.
 
Back
Top Bottom