Usher-smith MD
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 9,575
- 12,368
Ile pesa unayomwekea ndugu ama rafiki kama dhamana polisi huwa inarudishwa au ndio imeenda?
dhamana ni mali kauli,hautakiwi kutoa keshi ila poti wanaimpromvize
Kiendacho kwa mganga.................!!