Dhamana mara nyingi huwa ni kauli, yaani haiytolewe pesa taslim labda kwenye kesi za uhujumu uchumi au wizi wa fedha. Hivyo una mdhamini mtu let say shs 10million maana yake ni kuwa iwapo mtuhumiwa atakimbia na kutohudhuria mahakama basi mdhamini utatakiwa kwanza kumtafuta mtuhumiwa,asipopatikana basi utatakiwa kulipa lile fungu la dhamana, ukishindwa, una kwanda jela huku jamuhuri ikiendelea kumtafuta mtuhumiwa.