Dhahabu nyeusi.!

Dhahabu nyeusi.!

Magwagu

Member
Joined
Sep 23, 2013
Posts
30
Reaction score
7
Habari wanajamvi? nauliza kwa wataalamu wa madini eti kuna dhahabu nyeusi.
 
Dhahabu nyeusi ni mafuta kabla hayajasafishwa, ila kuna baadhi ya maeneo kuna dhahabu ni nyeusi lakini ukiisafisha inakuwa kwenye rangi yake ya kawaida
 
Dhahabu ina aina nne 100% ni 24karat na 75% ni 18K, 58% ni 14% na 38% ni 9K kwa hiyo hakuna dhahabu nyeusi ila unaweza kuchanganya ili upate dhahabu nyeusi kwa mfano 75% ya dhahabu na 25% ya cobalt unapata dhahabu nyeusi pia unaweza changanya chemical element zingine ukapata Rose, Pink, na hata Red gold
 
Kifupi hizo zinaitwa Alloy.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom