Hakuna biashara ngumu kama ya dhahabu wale wachimbaji wanakuwa wanawadanganya tuu ,kuwa mwamba wamashaukribia,wanaleta mchnga wa uongo wa kupiga chabo ,jnaendelea kuwahudumia na kununua vifaa ukikaribia kukata tamaa wanaanza kukushauri kuwa unachezewa hivyo tafuta waganga unaanza kupoteza fedha nyingine kwa waganga kuja kushtuka huna hata senti. Kama unataka mali utawapata shambani