Devotha Minja wa ITV Morogoro

amushasha
Nasikia wewe ni CCM damudamu lakini mlipompiga chini Kaghasheki, aliwaambia eti ni wanafiki, mchana mnajifanya mpo kwake, mnavuta kwanja, usiku mahamia upinzani. Eti ni kweli hayo?
 
Last edited by a moderator:

Mkuu wa mkoa analeta maendeleo gani??
 
Kafie mbele huko nyang'au
 
Sasa kati ya devotha minja na spencer lameck nani alistahili?

Kweli kipaumbele ilistahili kiwe ELIMU, ni kweli hujui kwa nini ni Devitha Minja viti maalum na si Spancer Lameck? Utakuwa na matatizo makubwa ya uelewa wewe. Kusoma hujui na kuangalia picha ni shida?
 
amushasha
Nasikia wewe ni CCM damudamu lakini mlipompiga chini Kaghasheki, aliwaambia eti ni wanafiki, mchana mnajifanya mpo kwake, mnavuta kwanja, usiku mahamia upinzani. Eti ni kweli hayo?

Ccm ni sawa na oil chafu
 
Last edited by a moderator:
It is a very dangerous seed people are trying to sow. Mtu na akili zake anaongelea ukabila! Mbona TFF pale top ni ......tu?

Sasa kati ya devotha minja na spencer lameck nani alistahili?

Kwani spencer ni mwanamke? Au kwenu mn viti maalum vya kina baba?au ndo ulitaka kusemaje maana hujeleweka.
Mbona hushangai kwa nini Buhohela hajapata?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…