Steph Curry
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 5,936
- 4,713
Anaitwa Hot Lady, kama kweli anafanania jina lake namuomba awasiliane nami privately, nitampatia nafasi!
Devota minja ok uliposema morogoro nimekumbuka mbali sana nikizani replacement ya aliyepata ajali enzi zile kumbe ni ku-malizia ile agenda ya home kwanzanawapongeza saaaana chadema kumteua uyu dada ubunge viti maalum anastaili kwakweli maana alikua jasiri kureport habari ambazo zingemtia matatani
tutammiss sana wapenzi wa itv
Ukabila unaitafuna chadema.
CHADEMA wamesahau kumpa ubunge wa viti maalum mwandishi mwingine wa ITV Morogoro anaitwa Ida Mushi naye ni mchaga mwenzao.
Mkuu kwani we umevaa miwani ya mbao? Devotha MINJA,
Sura na dhana ya u kabila imekipunguzia kura nyingi sana Chadema. Hilo mtu akubali akatae lakini lina u kweli ndani yake.
nawapongeza saaaana chadema kumteua uyu dada ubunge viti maalum anastaili kwakweli maana alikua jasiri kureport habari ambazo zingemtia matatani
tutammiss sana wapenzi wa itv
hivi na SUGU anatokea kaskazini?
Jimbo la Segerea UKAWA kata 13 CCM 0
Jimbo la Segerea UKAWA kata 13 CCM 0