Devil worshippers wapanga mashambulizi ya hatari kuelekea kupinduka kwa mwaka

Sasa Mimi nimewaona wahudumu wa kanisa fulan maeneo ya boko magengeni kwa mzee wa yesu wamevaa nguo nyekundu ndo jamii hiyo unaizungumzia
 
• secret 001002004 leak to earth...!
ha ha ha...
[HASHTAG]#09916754[/HASHTAG].alt.info.ipt...
 
Upuzi Tu! Siwezi hata kuwa mjinga kuanzisha thread Kama hii Na Nonsense story toka kwa watu weupe!
 
Chonde chonde ndugu zangu kuweni makini na hili


Siku moja kabla ya kupinduka kwa mwaka kama utakutana na mtu usiye mjua amevaa nguo za kijani au nyeupe pee msikilize ushauri atakaokupa usipuuze

Ukikitana na mtu usiyemjua kavalia mavazi mekundu au meusi usithubutu kuongea na huyo mtu kwa maana hauta maliza salama mwaka 2017 utaandamwa na mabalaa na utafariki kwa ajali mbaya sana


NB:tuna mtaka ben saa nane akiwa hai
Akilibza namna hii zinarudisha sana maendeleo ya dunia nyuma.Huu ni up..zi kabisa kuweka hapa kuajdiliwa na wasomi.Hii inadhihirisha kwamba kuna watu bado kifikra wanaishi karne ya 18.
......Think outside the box....
....Free ideas
 
Back
Top Bottom