Development Capacity: Where is Tanzanian Science?

Babu isn't all that means a government? Au?
Inategemea in what u define as a government. Mimi hiyo model iliyo kichwani mwangu ningeiita 'kamati ya kusimamia ukombozi' .. Free from all the political nonsense and personal opinion(s) and subjectivity. Yaani utaalamu na utaifa mbele.
 
Naona katibu mukhtasi wa mzee wa magogoni naye anachangia mada..

Nways, Ukiniuliza matatizo yetu yanaanzia wapi mi ntakutajia lililo kuu. I can put it one lil phrase

MFUMO DUNI WA KUJITAWALA UNAO- RELY SUBJECTIVITY & POLITICS.

Nchi yetu haihitaji siasa at all wala hizo 1% funding ya research za kuganga njaa, thats pure nonsense and useless.

Nchi yetu inatakiwa iongozwe na jopo la wataalamu, ambalo litakuwa linaoversee sub-jopos vidogo vingine kadhaa ambavyo vitakuwa vinajishughulisha kisekta.

Ktk hii model ninayoifikiria, the sub-jopos zitakuwa zinaripoti kwa central jopo ambalo litaoptimize utendaji wa hivi vijopo. Merit ya kuwa memba wa hivi vijopo na jopo kuu ni your patriotism & technical knowhow, na system ya kufanya kazi itakuwa inafanya kazi ktk mfumo transparent and free from subjectivity and other nonsense.

Unless tuna-adopt mfumo ambao ni competitive ambao upo free of politics and subjectivity and opinions, kila siku tutakuwa tunaongelea haya matatizo ad infinitum.
Poa--let me try to understand you. Central jopo is the office of waziri mkuu. Sub jopos are different wizaras. In order to be a member of these sub-jopos umesema u need to be a patriotic and technical know-how. Mwakusya is a prof and a patriotic who runs a afya sub-jopo. Halafu umeongeza kwamba we need to be free of "politics, subjectivity and other opinions". So u want to take away magazeti, and jamii forums because these will be subjective to opinions. We have been in that path before, it is called socialism. And it has never worked. Muulize Marx, Engles, Lenin, Stalin, Atlee, Mao, Nyerere and all of 'em.
 
My point is nigga what are you talking about?

Nakukumbusha, you can't be a smart ass here. Nilivoelezea naona sijaeleweka au unajaribu sarakasi. Unajaribu kueka translation ya model yangu into current rubbish system, sijaelewa ukiwa na maana gani. Did you get the essential part ya ninachokiongelea?

Kama hujaelewa unayo bado nafasi ya kurudia tena kuisoma hiyo model yangu uulize maswali kama majibu yapo nitakupa. Vinginevo siezi kuongelea assumptions unazozibabatiza hapa za Waziri mkuu sijui Nyerere.
 
my views on this topic are aptly captured in the part of an essay by the late Prof. J F Rweyemamu titled "Problems and Prospects of the Least Developed Countries" published in The Brandt Commission Papers, Selected Background Papers Prepared for the Independent Comminssion on International Development Issues 1978-1979

anasema:

"... the basic task of education is the transmission of values, but values cannot help us much to pick our way through life unless they become our own, a part, so to say, of our mental make-up. An education system has to give the people of a given culture the abilitiy to make the world and their own lives intelligible. It is through the creation of intelligibility that meaningful education spurs the outburst of daring, initiative and constructive activity. But such an education system cannot be brought about by the expendiure of money and administration alone, even though the importance of these cannot be denied. It requires the nationals and especially those already educated and in leadership positions to reformulate the central convictions of their societies."
 
Nakukumbusha, you can't be a smart ass here. Nilivoelezea naona sijaeleweka au unajaribu sarakasi. Unajaribu kueka translation ya model yangu into current rubbish system, sijaelewa ukiwa na maana gani. Did you get the essential part ya ninachokiongelea?

Kama hujaelewa unayo bado nafasi ya kurudia tena kuisoma hiyo model yangu uulize maswali kama majibu yapo nitakupa. Vinginevo siezi kuongelea assumptions unazozibabatiza hapa za Waziri mkuu sijui Nyerere.

Haya kaka. Mjadala uishe. Sio ishu.
 
Kinyambiss, mada ya muhimu sana hii kama kweli tunataka kuendelea. Hata mimi nina maswali kibao juu ya hali ya Sayansi & Technolojia katika Tanzania na Afrika kwa ujumla.

WAZO:
Kama ambavyo kuna mtu alimwalika Dr. W. Slaa akaja humu kujibu maswali na dukuduku zetu kuhusu mambo mbalimbali ya siasa, uongozi nk napendekeza kuwa viongozi wawili wanaohusiana na Sayansi na Technolojia nchini Tanzania na wa bara la Afrika watutembelee hapa (pengine ni wana JF mimi sijui) ili watusaidia kupambanua hali yetu ya Sayansi na Teknolojia, matatizo tuliyo nayo na tufanye nini ili kujikwamua nao ni kama ifuatavyo:-

1. Director General for COSTECH, Dr. H. Mshinda (http://www.costech.or.tz/index.php/secretariat/director-general)

2. Executive Director for ISCU- Africa (Intenational Council for Science – Africa) -
Prof. Dr. S. Muhongo (http://www.icsu-africa.org/secretariat.htm) - na bahati na huyu pia ni Mtanzania

Hata maswali ya tuzo kwa wanasayansi watatujibu. Nimepitia wavuti ya COSTECH nimekuta matangazo la Scientific Awards- nomination.
http://www.costech.or.tz/index.php/scientific-awards?showall=1
 
In Tanzania, it is the Tanzania Commission for Science and Technology that would have thought and implemented all the good thoughts raised above, to take us at least the right way towards that route, but what is really happening there is all shames even noting it here. Good people, we are equally fearing the direction we are headed! Serikali should put our resources where our mouths are. Tume ya Sayansi is now a liability, people just go there for the sake of going. Their DG goes shopping to Geneva on government expenses instead of promoting S&T for our national development. It is sad but the history will judge us as a generation for all the evils we are witnessing happening without forcing the government to take action! God bless the poor Tanzanians and may you punish all those sabotaging the scientifc development efforts in Tanzania! Amen
 
i have read the thread, its wonderful, also i read all of your contribution, there is little i can add as you have all write everything, it seems we all know what is the problem and i once said solution ndio inakua ngumu kuikubali nikawai kuandika kwenye thread moja kwamba inaitaji kua mwendawazimu kuongelea mapinduzi kama yale ya azimio la arusha, kama la kule china kama la kule venezuela kama la kule cuba lakini ukweli ni kwamba iyo ndio njia pekee kutoa hawa vibaraka wa magharibi kwa nguvu ktk madaraka na kuweka structure mpya ambayo itachukua na kuendesha njia kuu za uchumi nje ya apo ni tutashia kulalamika tu!
 
Taratibu kamanda genge la watawala watakutafuta wakuite mchochezi..ohhooo..

Kamanda hoja zako ni sawia kabisa. Inashangaza saana watu humu wanadhani mambo yatatengemaa under current filthy mediocre utawala wa kuganga njaa na kujaza matumbo with zero vision. Seriously huezi ukategemea mambo ya uvumbuzi yata-improve under current situation & system, unless kama unamatatizo ya kuobserve facts. Ndo maana mara kadhaa nime-challenge watu humu kua huezi kutegemea utachipua mnazi kwa kupanda chelewa, technically huezi vuna madafu from chelewa. Sadly wengi wetu tunasubiria kula madafu.
 
Back
Top Bottom