Mimi naona kila comment ina ukweli sana,Ila nakubaliana sana na
Hardwood , kwa sababu sio upande wa coding to, biashara zote, kama hujui how to sell, hakuna kitu unafanya! In person naweza kukuambia, kati ya Mtaji, Idea nzuri, Uwezo wa kucode, gov support na vingine kati ya hivyo, chenye nguvu au ujuzi wa maana kuliko wote hapo ni Interpersonal Skills. Ikimaster interpersonal skills unaweza kupata mtaji, ukawashawishi watu wakusaidie, ukapata wateja wengi na connection ambazo zitakupeleka mbali sana.
Hizo skills na vitu vingine kama pesa ni vya muhimu sana ila ukiwa navyo ukakosa interpersonal skills hufiki popote.
Mimi nimewahi kumsaidia mtu project yake kwa miezi 11, hajanilipa chochote..sasa hivi amepata investors na anaweza kunilipa, ila kama asingekuwa na good interpersonal skills,nisingepoteza muda wangu kufanya kazi bure.
My challenge to you guys, hadi inafika 2019, jitahidi kujifunza interpersonal skills kuliko kucode au kuomba mkopo,ongea na watu, jichanganye, usipende cheap sana(?), then fanya project yako.
mwisho wa siku hata uwe unajua vipi, bado unahitaji team.
i'm done