Habari wadau wa JF,
Aliyekuwa Mwanachama wa CHADEMA Deus Mallya,aliyepata ajali na Hayati Chacha Wangwe mwaka 2008, ajali iliyosababisha kifo cha Wangwe ametangaza hadharani kwamba amejiunga na ACT wiki ijayo atatoa sababu za kuondoka CHADEMA. Nanukuu.
"Baada ya kushauriana na Watu wangu wa karibu, wakiwemo ndugu, jamaa, marafiki na familia yangu nimeamua kujiunga na chama cha ACT-Wazalendo. Week ijayo nitatangaza wazi azma yangu hiyo mbele ya vyombo vya habari na na pia nitaeleza sababu za kuamua kuachana na CHADEMA"
Mwisho wa Kunukuu.

Sasa sisi inatuhusu nn...ukitaka kichaa asikusumbue mfukuze na makopo yake...xo makopo yake nenden tu ili kichaa wenu asitusumbue..
Deus Mallya ni nani ? ana cheo kipi CHADEMA ?
Katumwa tena! yarabi!
Kwa mwendo huu ACT itachukua dola
Mbowe choo imembana ,ile siri aliyokua anatunza itakuaje sasa?