jimmymziray
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 816
- 515
Mhadhiri wa Chuo cha Diplomasia kilichopo Kurasini Dar es Salaam , ndugu Deus Kibamba asema Rais hawezi kupingwa waziwazi,amedokeza iwapo mtu ana mtazamo hasi kwa rais anapaswa kutafakari moyoni badala ya kumzungumzia vibaya rais. Amewaelezea wapinzani wa Tanzania jinsi wanavyomkosoa rais bila kuona mema yake.
Ameyasema hayo katika kipindi cha 360 cha Clouds TV .
Matapishi kabisa unayoandika humu .,na kakingereza kako ka kutoka kayumba basi wajiona unaakili kinomaa...ila nyie watu muda utafika tu tutaheshimiana maana utakuwa kabla hujafanya kitu lazima ujiulize kwanza athari zake...huko ni USA. Shida ya bongo vijana wanafosi harakati kwa kuburuzwa. wanafuata upepo tu.
things do not get directed accordingly.
yuko sahihi ndg.kibamba. urais ni taasisi kubwa na tukufu kimsingi. inapaswa kuheshimiwa
Mi nasumbuliwa na utoto ila wewe ni kubwa but bado jinga so wewe ni kubwajingaUnasumbuliwa na utoto ww utakua tu
Yaonyesha jinsi ulivyopungukiwa kiakili kimaadili n.k. maana hata babayako hakupona na majibu ya aina yako.Taasisi inatakiwa iheshimiwe...mbona yenyewe haieshimu watu
Huyo yesu isemekanavyo alisulubiwa ijekua maguful kukosolewa ww muhadhir wawapi ww?Mhadhiri wa Chuo cha Diplomasia kilichopo Kurasini Dar es Salaam , ndugu Deus Kibamba asema Rais hawezi kupingwa waziwazi,amedokeza iwapo mtu ana mtazamo hasi kwa rais anapaswa kutafakari moyoni badala ya kumzungumzia vibaya rais. Amewaelezea wapinzani wa Tanzania jinsi wanavyomkosoa rais bila kuona mema yake.
Ameyasema hayo katika kipindi cha 360 cha Clouds TV .
Cheney maslahi....Mahojiano TV gani? CLOUDS...Mhadhiri......next... Uteuzi. [emoji15] [emoji15] Ni Deus Kibamba yule mwanaharakati au mwingine. Apambane zaidi kitaelewekaMhadhiri wa Chuo cha Diplomasia kilichopo Kurasini Dar es Salaam , ndugu Deus Kibamba asema Rais hawezi kupingwa waziwazi,amedokeza iwapo mtu ana mtazamo hasi kwa rais anapaswa kutafakari moyoni badala ya kumzungumzia vibaya rais. Amewaelezea wapinzani wa Tanzania jinsi wanavyomkosoa rais bila kuona mema yake.
Ameyasema hayo katika kipindi cha 360 cha Clouds TV .
Deus ninayemjua kipindi cha mchakato wa Katiba mpya na Jukwaa la katiba atakuwa ameshazeeka...
Mbwa wewe ushakufuru.rais malaika wap imeandikwa..mijitu mingne kama hailuzaliwa kwa uchungu..mtajipendekeza had lin?muda mwingne nataman yote yanayosifia upuuzi wa hyo mtu siku ayaambie yainame s mnasema hapingwi ndo mtajuta sk hy mbwa nyieHuyu yuko sahihi rais ni zaidi ya malaika.....sitaki kukufuru Mungu niepushe na hili