Binti Msichana
Senior Member
- Oct 9, 2016
- 109
- 249
Huo utukufu ni kwa zama hizi tu?? Mbona sehemu nyingi duniani hakuna kitu kama hicho? Au hizo sio Ikulu??! Jana umeona USA watu walivyotumia uhuru wao kikatiba kuandamana na polisi hawakutumia nguvu nyingi kuwazuia,yuko sahihi ndg.kibamba. urais ni taasisi kubwa na tukufu kimsingi. inapaswa kuheshimiwa
Taasisi inatakiwa iheshimiwe...mbona yenyewe haieshimu watuyuko sahihi ndg.kibamba. urais ni taasisi kubwa na tukufu kimsingi. inapaswa kuheshimiwa
Mtukufu kamsikia subiri aje ateuliwe kuwa balozi wa libyaMhadhiri wa Chuo cha Diplomasia kilichopo Kurasini Dar es Salaam , ndugu Deus Kibamba asema Rais hawezi kupingwa waziwazi,amedokeza iwapo mtu ana mtazamo hasi kwa rais anapaswa kutafakari moyoni badala ya kumzungumzia vibaya rais. Amewaelezea wapinzani wa Tanzania jinsi wanavyomkosoa rais bila kuona mema yake.
Ameyasema hayo katika kipindi cha 360 cha Clouds TV .
Unasumbuliwa na utoto ww utakua tuTaasisi inatakiwa iheshimiwe...mbona yenyewe haieshimu watu
Daa jamaa yng sijui unatumia makalio kufikiri??? Kwa mambo yanayofanyika marekani na kiti kile cha uraisi wa marekani nadhan mungekwisha wauwa watu wote ktk mitaa ya maandamano!!!! Kwa akilini zenu zilivyo nyeusi kama ngozi zenu.,hakika mungejiita MUNGU nyie ....yuko sahihi ndg.kibamba. urais ni taasisi kubwa na tukufu kimsingi. inapaswa kuheshimiwa