Details needed please

Karucee

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2012
Posts
18,196
Reaction score
34,502
Habarini boys and gals in here. Naombeni msaada. Leo nimepata dada wa nyumbani kutoka agency flani hivi Mwana Nyamala. Ni Msambaa kutoka Tanga. Naombeni kujua sifa za wasichana walikotokea huko kwa sababu nina libaby kichanga and I cant take any risks. Ningekuwa pekee yangu wala singejali coz time would tell the kind of person she is. Ila sasa I need details ili at least niwe forewarned nijue who am dealing with. She seems nice and quiet ila sijawahi kubahatika kuwa na housegal mzuri. Wote ni machizi hasa. Maybe they get it from me. 😀# kidding.
 
hahaha kwanza ondoa iriki zote hapa nyumbani usije kuta mume anaongeshwa maji yaliyoungwa na iriki lol
 
ha ha ha, pole
ndo kshafika home, due diligence bado inahusika?

Mie nilikuwa naye mmoja, mzururaji na muongo tu
vingine ilikuwa swafi
 
hahaha kwanza ondoa iriki zote hapa nyumbani usije kuta mume anaongeshwa maji yaliyoungwa na iriki lol

hahahahaaa uwiii. Hivi kweli ama uzabzab?
 
ha ha ha, pole
ndo kshafika home, due diligence bado inahusika?

Mie nilikuwa naye mmoja, mzururaji na muongo tu
vingine ilikuwa swafi

sasa, umenichekesha. Kama mzururaji hayo ambayo swafi alikuwa anafanya saa ngapi? Na uongo tutashindwana mbona?
Bado sijaenda home kwangu, bado nipo kwa wakwe tangu nimejifungua.
 
umepata mtoto ukiwa bado na umri mdogo!
 
He? kalou. Lol. What makes you say that??
 
sijui tabia za watu wa huko, ila ninachoweza kukutahadharisha hizi zinazoitwa agency siku hizi sometimes ni mtandao wa wezi, wanakuketea msichana the siku mbili taatu anasoma mazingira anakwiba anasepa...... Kwahiyo msome na kuwa makini sana, kwa vile uko kwa wakwe tumia muda huo kukaa nae na kumsoma..........

Vingine mpe a,b,c zako, then ni msome tu vile alivyo, na umuongoze.......


...
 

thanks love. Mh! Nilikuwa settled kabisa eti incase of anything najua pa kumtrace. Umenifungua macho.
 
Mamii, makasheshe ya mahausigelo hayasemeki. Wewe kaa nae, hakikisha ni mtu anaesali kwa dini yake. Otherwise hayo mengine ni kuomba Mungu tu. Kaa nae kabla hujamaliza likizo umuone walau yasiyofichika anahandle vipi.
 
Mamii, makasheshe ya mahausigelo hayasemeki. Wewe kaa nae, hakikisha ni mtu anaesali kwa dini yake. Otherwise hayo mengine ni kuomba Mungu tu. Kaa nae kabla hujamaliza likizo umuone walau yasiyofichika anahandle vipi.

thats what I will do. After all sina mpango wa kufanya kazi mpaka March. Nataka nifanye Exclusive breastfeeding kwa baby.
 

Ila mi nadhani kama kweli unampenda mwanao ulitakiwa kufanya hiyo feasibility study kabla hujamleta nyumbani kwanza,sasa umeshamleta na yuko ndani,supose ukiambiwa sifa tofauti na unavyomuona means utamrudisha kwao tena?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…