Destination Tanzania imetumia sh ngapi?

Best home tutor

Senior Member
Joined
May 8, 2026
Posts
194
Reaction score
265
UELEKEO NI TANZANIA, VIVA TANZANIA

Serikali ya Tanzania imezindua kampeni kubwa ya kimataifa ya "Destination Tanzania" katika miji inayohodhi Kombe la Dunia, ikiwemo Atlanta, Toronto, na Mexico City.

Malori makubwa yenye skrini za kidijitali yanazunguka kwenye barabara kuu za miji hiyo yakionyesha vivutio vya utalii vya nchi hiyo Lengo kuu la mkakati huu ni kutumia mamilioni ya mashabiki wa soka duniani kutangaza vivutio kama Mlima Kilimanjaro, Serengeti, na Zanzibar. Aidha, kampeni hii inalenga kujenga uelewa na kuamsha ari kuelekea mashindano ya soka ya Mataifa ya Afrika (AFCON) ambapo Tanzania itakuwa mwenyeji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…