dogolasi wanaume sisi ni hela tu na mtalimbo ufanyekazi! si unaona kifaa kile alichovuta Mzee wa IPP?ina maana umri hauwatupi wanaume mkono? maana naonaga tu mnasema wanawake umri unaenda sa sijui wa kwenu wanaume unarudi nyuma??
na mwanamke akiwa na hela je? nae si anavuta? coz wanaume siku hizi wasivyopenda kujituma acha tu! wanapenda vya bwerere. au labda nikuulize hivi kwanini mnaconsider wanawake ambao umri umeenda kwamba ni desparate?? umri si namba tu?dogolasi wanaume sisi ni hela tu na mtalimbo ufanyekazi! si unaona kifaa kile alichovuta Mzee wa IPP?
Mwanaume akiwa na Mwanamke mwenye umri tofauti nayeye wakitoka na kula bata popote it is understandable and acceptable in society lakini upande wa mwanamke,sihitaji ku comment unajua ilivyo.....na mwanamke akiwa na hela je? nae si anavuta? coz wanaume siku hizi wasivyopenda kujituma acha tu! wanapenda vya bwerere. au labda nikuulize hivi kwanini mnaconsider wanawake ambao umri umeenda kwamba ni desparate?? umri si namba tu?
word......................Hahahaa sasa jamani umri ukienda ndo waopoe tu hata koroma? Acha wachague kitu roho inapenda.....kuspend the rest of your life na mtu ambae sio chaguo lako yahitaji moyo wa chuma..
Dada ukiona mada soma vizuri uelewe.ukikuta maneno ya kiingereza yamo jiridhishe tafsiri yake.unachokisema na nilichokiandika havina uhusiano,usinilishe maneno yako tafadhali.situation yako ni mtu ambaye ni HAPPILY SINGLE! (Hii next time) leo ni DESPERATE SINGLE.Rudi kwenye mada kama una hoja.Nilikutana na rafiki wa utotoni...nikamwambia huyu ndio mwanangu wa kwanza...eti ulikuwa wapi au ulikuwa unachagua...
Kwi kwi kwi...yani kwa kuwa mimi mwanamke atakayekuja yeyote nimkubali....sina macho wala choice...
Ndio mleta mada...wengi walioolewa wakiwa watoto wamebugi meeen....wengi wanaonekana wazee kuliko umri wao...
Huyo dada nilimsahau kabisa...kama lile tangazo la uzazi wa mpango....
Sawa, lakini isiwe at the expense of the other halfHahahaa sasa jamani umri ukienda ndo waopoe tu hata koroma? Acha wachague kitu roho inapenda.....kuspend the rest of your life na mtu ambae sio chaguo lako yahitaji moyo wa chuma..
ni kwel kabisa yan uchi hauendani na umriwanatusumbua sana huku mtaani dada yangu! utasikia nataka sherehe ya Harusi yangu nataka iwe ya mfano! mfano upi wakati umetumika mpaka umechoka!
aliekudanganya kwamba wanaochoka uchi ni wanawake tu nani?? hebu tafuta mwanaume wa miaka 20,na wa miaka 35 kama wanalingana nanihii zao. wa miaka 35 utakuta yale madude mawili yamelegeaaa yameshuka chini.sory kusema hivi ila wanaume nao wanachakaa vilevile.ni kwel kabisa yan uchi hauendani na umri
mbona mimi nimevuka hiyo 35 lakini haya makitu hayajalegeaaliekudanganya kwamba wanaochoka uchi ni wanawake tu nani?? hebu tafuta mwanaume wa miaka 20,na wa miaka 35 kama wanalingana nanihii zao. wa miaka 35 utakuta yale madude mawili yamelegeaaa yameshuka chini.sory kusema hivi ila wanaume nao wanachakaa vilevile.
Hahahaa umenena hapoaliekudanganya kwamba wanaochoka uchi ni wanawake tu nani?? hebu tafuta mwanaume wa miaka 20,na wa miaka 35 kama wanalingana nanihii zao. wa miaka 35 utakuta yale madude mawili yamelegeaaa yameshuka chini.sory kusema hivi ila wanaume nao wanachakaa vilevile.
wee kiboko! umefanya utafiti huo kwa vitendo! lakni wenzio wanaangalia performance sio maumbile! pia katika umri uliotaja miaka 20 uwezo wa mwanaume huyo kuridhisha mwanamke wa miaka 35 anamuacha kwa mbali huyo wa 20! experience ina add value ujue?aliekudanganya kwamba wanaochoka uchi ni wanawake tu nani?? hebu tafuta mwanaume wa miaka 20,na wa miaka 35 kama wanalingana nanihii zao. wa miaka 35 utakuta yale madude mawili yamelegeaaa yameshuka chini.sory kusema hivi ila wanaume nao wanachakaa vilevile.
lazima yatakuwa yamelegea we angalia ukiwa unasex utaona yanafanya kama kuchapa k, kijana wa miaka 22 yamekaza.tena nyie wanaume mkifika 29 kuendelea mnaaza kuchakaa na mnachakaa vibaya mno basi ni vile tu sie wanawake ni wavumilivu.mbona mimi nimevuka hiyo 35 lakini haya makitu hayajalegea
Kama ndo hivyo kwamba alie na miaka mingi ndo ana experiance ya kuridhisha mwanamke basi na vilevile kwa mwanamke mwenye miaka mingi anaweza mridhisha mwanaume zaidi so ni haki tena sana wachague hata kama umri umeenda.wee kiboko! umefanya utafiti huo kwa vitendo! lakni wenzio wanaangalia performance sio maumbile! pia katika umri uliotaja miaka 20 uwezo wa mwanaume huyo kuridhisha mwanamke wa miaka 35 anamuacha kwa mbali huyo wa 20! experience ina add value ujue?
unajua we ndo mtu wakwanza kuniambia uchi wa mwanaume unazeka dada nakuhakikishia uchi wa mwanamke uliochoka ni mbaya hata kwa kuutazama tulazima yatakuwa yamelegea we angalia ukiwa unasex utaona yanafanya kama kuchapa k, kijana wa miaka 22 yamekaza.tena nyie wanaume mkifika 29 kuendelea mnaaza kuchakaa na mnachakaa vibaya mno basi ni vile tu sie wanawake ni wavumilivu.