desktop pentium 4 nahitaj

kimpe

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2012
Posts
910
Reaction score
862
mwenye nayo tufanye biznezz nna laki na nusu complete nataka ikikuhusu basi unahusika so tuwasiliane
 
mwenye nayo tufanye biznezz nna laki na nusu complete nataka ikikuhusu basi unahusika so tuwasiliane

Mimi ninazo ila nauza complete kwa 230. Ziko kwenye hali nzuri na zina uwezo mzuri sana. kwa hio bei yako iko chini kidogo ndugu!
 
mwenye nayo tufanye biznezz nna laki na nusu complete nataka ikikuhusu basi unahusika so tuwasiliane

Kiongozi hiyo bei utanunua kitu ambacho hakitakusaidia kwa muda mrefu na hakina hata ubora, kuna flat screen, cpu HD 80GB 299,999 tsh. kama uko sawa we ni pm kwa taarifa zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…