Desktop computer mpya

waziry

Member
Joined
Apr 18, 2013
Posts
55
Reaction score
8
HABARI
naomba nisaidiwe duka ambalo naweza kupata desktop mpya kwa bei nzuri hapa DAR

natanguliza shukurani
 
Yapo mengi..si mpya kuvile ila ni nzuri. Nenda universal computer kariakoo
 
sehemu nyingi wanauza used computers. mie nahitaji core i3 desktop mpya. mwenye kuelewa duka naomba tusaidiane
 
Nenda posta mpya Samora Avenue kuna duka moja wanauza computer mpya kabisa na za kisasa nimeziona mpaka core i7. Ngoja nitafute business card yao nilichukuwa nitakupa details zaidi nikiiona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…