Duh hailipi kaka
Habarini
Desk top hizi zinauzwa
Bei ni 350k @ ram ni 1gb
Mi si mtaalam sana wa hizi kitu
Ni dell ziko 5 monitor zake ni flat ibm
0652060181
Kachukue unachezea kkoo nenda pesa yako tuu
Utaratibu ukoje kwa walioko mikoani?Habarini
Desk top hizi zinauzwa
Bei ni 350k @ ram ni 1gb
Mi si mtaalam sana wa hizi kitu
Ni dell ziko 5 monitor zake ni flat ibm
0652060181
Za karikaoo ziko vizuri sna wasomali wapo serious na biashara sana.
kachukue unachezea kkoo nenda pesa yako tuu
Za karikaoo ziko vizuri sna wasomali wapo serious na biashara sana.
ni mtaa gan hz za laki na nusu nahtaj tafadhal nijuzeni