Design za mapaa kwa nyumba

Design za mapaa kwa nyumba

Jerhy

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2013
Posts
3,135
Reaction score
1,001
Habari wanajamvi,

niweke sample za paa la nyumba, nyingine mtaongezea.

Katika ujenzi ni vema ukazingatia aina gani ya paa ungependa nyumba yako iwe, kuna design za paa nyingi kutegemea tekiniko staili ya nyumba ilivyo kuanzia floor plan, na pia uwezo wa uchumi wako katika kumudu gharama za upauaji, na kwa kawaida nyumba yenye paa la staili pekee huvutia sana na gharama za upauaji huwa juu sana. Hii ni mojawapo yenye paa la aina yake na zingine zenye paa simple zinapatikana pia.

Mfano:
 
Muonekano wa paa kwa juu
 
Kwa yeyote anaehitaji mapaa kwa bei poa ya kila yakila aina kwa bei nafuuu kabisa karibu sana nawakaribisha mafundi kwa sana karibuni sana
 
Design za paa zinaanzia kwenye mchoro wa msingi/foundation
 
Back
Top Bottom