Torque vs HP JF-Expert Member Joined Jan 7, 2021 Posts 1,768 Reaction score 5,089 Apr 7, 2021 #2 Vijiji kama vya Chato hivyo. Nasema uongo ndg zangu?
The Bleiz JF-Expert Member Joined Jan 7, 2012 Posts 5,137 Reaction score 13,825 Apr 7, 2021 #3 Hivi ni nani walikuja hapa Bongo wakasema Dar ni likijiji likubwa.
Farolito JF-Expert Member Joined Sep 10, 2018 Posts 15,126 Reaction score 35,513 Apr 7, 2021 #4 Mbona nahisi kama ni rahisi kukumbwa na majanga ya asili kama mafuriko,kimbunga maana sioni hata miti ya maana
Mbona nahisi kama ni rahisi kukumbwa na majanga ya asili kama mafuriko,kimbunga maana sioni hata miti ya maana
Kadhi Mkuu 1 JF-Expert Member Joined Feb 4, 2015 Posts 22,868 Reaction score 29,027 Apr 7, 2021 #5 Farolito said: Mbona nahisi kama ni rahisi kukumbwa na majanga ya asili kama mafuriko,kimbunga maana sioni hata miti ya maana Click to expand... Unataka miti iote kwenye picha?
Farolito said: Mbona nahisi kama ni rahisi kukumbwa na majanga ya asili kama mafuriko,kimbunga maana sioni hata miti ya maana Click to expand... Unataka miti iote kwenye picha?
Ravalomanana JF-Expert Member Joined Sep 8, 2018 Posts 1,677 Reaction score 1,686 Apr 7, 2021 #6 The Bleiz said: Hivi ni nani walikuja hapa Bongo wakasema Dar ni likijiji likubwa. Click to expand... Nakumbuka ilikua ni kipindi kile wanyama wakati yuko totenham akaja bongo vyombo vya magharibi vikaripoti, " wanakijiji wakusanyika kwenye fukwe za kijiji kimoja kikubwa huko afrika mashariki wakijumuika na mchezaji wa spurs, wanyama "
The Bleiz said: Hivi ni nani walikuja hapa Bongo wakasema Dar ni likijiji likubwa. Click to expand... Nakumbuka ilikua ni kipindi kile wanyama wakati yuko totenham akaja bongo vyombo vya magharibi vikaripoti, " wanakijiji wakusanyika kwenye fukwe za kijiji kimoja kikubwa huko afrika mashariki wakijumuika na mchezaji wa spurs, wanyama "
Kapumpuli JF-Expert Member Joined Aug 11, 2018 Posts 2,277 Reaction score 3,005 Apr 7, 2021 #7 Aisee.... Very interesting... Nimependa hii kitu.
N nguvu JF-Expert Member Joined Jun 13, 2013 Posts 24,614 Reaction score 24,506 Apr 7, 2021 #8 Sky Eclat said: View attachment 1745697 Click to expand... Waache ufala sasa masaki yao ipoje?
Kennedy Platinum Member Joined Dec 28, 2011 Posts 62,530 Reaction score 76,455 Apr 7, 2021 #9 Torque vs HP said: Vijiji kama vya Chato hivyo. Nasema uongo ndg zangu? Click to expand... Ndiyo Ukweli Wenyewe Nasema Uongo Ndugu Zangu!! πππ π
Torque vs HP said: Vijiji kama vya Chato hivyo. Nasema uongo ndg zangu? Click to expand... Ndiyo Ukweli Wenyewe Nasema Uongo Ndugu Zangu!! πππ π