Naomba ifahamike kuwa unapohitaji nyumba, ni wewe mwenye specifiation kwamba nyumba yako iweje, na unapenda technical style zipi, na ujenzi wake ni wa aina gani, kwahiyo ukija na full details ni rahisi kukwambia hiyo nyumba ina gharimu bei gani,.
Ukiwa na sketches ukazituma, deed plan za viwanja vyako, pia itasaidia kutambua setbacks na wapi jengo likae.