DEREVA

mtanga255

Member
Joined
Sep 25, 2017
Posts
36
Reaction score
19
Amani ya bwana iwe nanyi wote.
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 28 mwenye elimu ya kidato cha 4 na kupitia mafunzo ya kozi ya udereva na Computer.
Ombi langu kwenu wana jamvi naomba msaada wa kazi tajwa hapo juu nina uzoefu nazo takribani mwaka wa tatu sasa leseni yangu ina madaraja A.A2.B.C1.C2.C3.D.E niko tayari kufanya kazi mkoa wowote pia naruhusu ushauri au wazo la aina yoyote.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna nafasi 800 zimetangazwa na tume ya ajira. Nenda kaombe fasta.
 

Ingia ajira portal kuna nafasi Kama 851 za serikali zimetolewa, nenda apply hizi inaweza kukusaidia


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…