Dereva yupi yupo sahihi?

Hapo Mtanzania yupo sahihi kulingana na aina ya barabara zake huko TANZANIA. lakini muamerica amechemka vibaya sana kavunja sheria kutokana na ulevi. Mtanzania kavunja sheria kutokana na ubovu wa barabara.
 
Ndio wanaacha pombe inapandishwa bei. Kumbe inaongeza accuracy
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…