Dereva wa uber

Dereva wa uber

GISAMBO

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2014
Posts
1,218
Reaction score
1,988
Naombeni kufahamishwa wap naweza pata mkopo wa gari ndogo kwa ajir ya biashara ya tax iwe ni bank au mtu binafsi nina kiwanja Bunju kikubwa na kina hati miliki lejesho naweza fanya 150,000 kwa week bila shida au kama una gari waweza nikopesha pia kwa hayo makubaliano

Gari za watu hesabu ipoo juu sana yani unaishia kupata ela ya kula tuuh ndio maana natafuta gari yangu kama una gari
Yoyote chini ya cc1490 pia itanifaa Asanteni.
Contact 0716628257
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom