Dereva wa uber mzoefu

Dereva wa uber mzoefu

eddie255

Senior Member
Joined
Oct 30, 2017
Posts
104
Reaction score
53
Habari wanachama wa jamii forum
Mimi ni kijana wa miaka 24 elimu yangu ni degree nina license class C na ninauzoefu wa zaid ya miaka minne barabarani. Nilikua natafuta boss wa kufanya nae kazi ya UBER kwa mkataba au kawida ila kiwango cha hesabu kiwe nafuu kulingana na ugum wa kazi. Nina account ya uber na taxify naomba ushirikiano wenu kwa mawasiliano zaid 0657142446 ahsate
 
Nimeomba sehem tofauti tofauti ndio maana nimeona ntafute hata uber niendeshe maisha Victor
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom