Dereva wa mwendo kasi'

Derva eti anajua kila kitu, hataki ushuri pia ni muongo, anataka tumuamini yeye tu hata kama hajui kuendesha gani, soon kutatokea ajali ya mwaka.
 
Abiria hawana shukrani,ukiendesha kwa mwendo wa taratibu watalalamika tunachelewa kufika,ukiikimbiza sana gari wanaingia hofu na kutaka upunguze kazi,cha msingi dereva endesha gari unavoweza ili tufike tunakoenda
 
Dereva asiye makini hata mwendo wa speed ndogo ni hatarishi tu akiwa kwenye usukani
 
Nina wasiwasi na Mafundi wasaidizi hawaangalii kiwango cha maji ya kupoza joto la injini ,na kiwango cha oil.
Si ajabu injini itakaangwa muda si mrefu.
 
Ukielewa thread watanyamaza tu
Siwezi kunyamaza kwa sababu wewe haujaekewa mimi ninacholalamika kuhusu kuwadhalikisha ndugu zetu wanaotubeba kwenye hayo mabasi

Mantiki yako ya fumbo nalielewa

Sasa sijui na wewe kama unanielewa ninachokuelewesha [emoji15]
 
Hahahaaa ukweli unauma dereva leseni aliletewa nyumbani

#kwa_hisani_ya_watu_wa_chadema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…