Dereva wa mwendo kasi'

Ushauri - abiria okoeni maisha yenu kwa kupitia madirishani , vinginevyo huyo dereva wa mwendo kasi atawatumbukiza baharini .
 
Mwendo kasi unamadhara sana
 
Mara kwa Mara dereva wa mwendo kasi amekuwa akishuka na kulaumu dereva aliyemtangulia kamuachia gari bovu! Anajuta kwanini alitaka kazi ya udereva!
 
Na sasa hivi gari litaishia kwe korongo na safari kuishia hapo.
 
Sidhani kama litakua na abiria hata moja alabda Dereva na Kondakta tu maana abiria wanashuka kwa kasi sana
Na hapo ndo mantiki ya safari inapopotea pale unaopaswa kuwasafirisha wanakuacha peke yako. Hata huyo kondokta hatobaki maana dereva wa mwendo kasi keshajidhirisha ya kuwa yeye ndio mjuaji zaidi na haitaji hata kondakta.
Tatizo litakuja pale abiria watakapoamua kupanda malori ili kufika safari yao, ikumbukwe malori hayapaswi kubeba abiria, sasa jiulize hapo yatakapobeba itakuaje?
 
Makondakta wenyewe ni hawa huku ndani wanasikia kizunguzungu na mapovu yanawatoka
 
KWA HIYO HAWA MADEREVA WA MWENDO KASI MMEWAONAJE MPAKA KUWATUMIA KWENYE MAFUMBO??


Mmewadharau sana au hawana maana?

Huo ni unyanyasaji wa haki za binadamu sasa sijui na kile kikundi cha pale kijitonyama kikiliona hili bandiko lako kitatoa tamko gani
 
Ukielewa thread watanyamaza tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…