mkuu umesahau kuwa kuna abiria mmoja alikuwa kwenye hii gari akawa anang'ang'ania sana apewe yeye usukani, lkn dereva yule akawa hamtaki akamwambia "ww ulipokuwa utindo ulikuwa unaiba sana nauli, kwa hiyo nikikukabithi udereva, utang'oa matairi, utauza engine hadi stering " cha ajabu abiria wengine wakawa wanapiga kelele na kutaka huyu abiria mwenzao ndo akabithiwe usukani . hatimaye tulipofika dodoma yule abiria akazira safari na kushuka kwenye gari na kusema "dereva anapendelea sana baadhi ya abiria kwenye gari yake kwa hiyo mm bora nishuke kwenye gari yake na kwenda kupanda gari nyingine" alijaribu kutembea kwa mguu kwa muda wa siku kadhaa hatimaye akapata kausafiri ka GUTA, kwa sasa mwenzetu yuko karibu kufika safari yake kwa sababu anakoenda si mbali ni hapo tu karibu MONDULI tena hana haraka yoyote kwasababu anakwenda KUCHUNGA NG'OMBE wake, ila kiukweli huyu abiria enzi za utingo wake alikuwa anaiba sana nauli. ALIKUWA MWIZI WA KUTUPWA.