Wakuu Heshima kwenu, Mimi ni Kijana wa kiume umri miaka 25, nakuja kwenu kuomba Kazi ya Udereva.....nina uzoefu wa udereva kwa miaka zaidi ya 4, kwa mikoa ya DSM, kilimanjaro , Morogoro, Mtwara...pia Nina Leseni Class E, Elimu ya Diploma Animal health&Production.... nipo tayari kufanya kazi hata katika kampuni, Taasisi mbalimbali hata kwa Mtu binafsi....ni kijana mchapakazi, Nina nidhamu na mwaminifu sana....kwa sasa nipo DSM... Wana JF nisaidieni connections.....asanteni sana.... 0785 -543411