Dereva wa kujitolea anahitajika, awe amepita NIT

Dereva wa kujitolea anahitajika, awe amepita NIT

Status
Not open for further replies.

maficpgt

Member
Joined
Jun 16, 2016
Posts
11
Reaction score
4
Nafasi ya kujitolea kwa Dereva, awe amepita NIT.

Umri kuanzia miaka 25 na kuendelea.
Awe tayari kukabiliana na Mazingira ya kazi.

Akiwa fundi itakuwa sifa ya ziada pia.

Mawasiliano: 0759330546
 
Sasa mtu ajitolee kupoteza muda.
Atakula wapi ? Akili za maskini ni umaskini.
Mpe ajira tangaza mshahara muachane.
Ajitolee ili iweje? Muache ujinga nyie na vi ist vyenu
Afu yeye ndio anamtafuta na sio dereva kaomba kujitolea!
 
Pesa ya kuhonga,kula,kulipa kodi ya nyumba,bando na vifurushi vya decoder nani atalipa?
Imagine unampa mtu gani la mamilioni aendeshe bure bila malipo akigonga mtu/watu repair ya gari atafanya nani?
Watu wana msongo wa mawazo kutokana na ukali wa maisha.
 
Unajua mi nashangaaga sana hizi ishu za kujitolea,.. Inawezekanaje kumpotezea mtu muda wake ilihali humlipi, afu mtu na akili yake anatafuta dereva wa kujitolea kweli?.. Ebu kua siriasi,.. Mimi ni dereva na sina kazi, Leseni yangu kubwa, nina vyeti vitatu vya udereva, naendesha gari yeyote hata Bajaji napiga... Ila sio kwa kujitolea, mana familia yangu itaishi vipi mzee... Ebu kua siriasi na kazi tuwasiliane bwana

Sent from my Infinix Zero 3 using JamiiForums mobile app
 
Hivi kujitolea mnakuchukulia poa saana eti! Kama kujitolea unakuchukulia simple hivi,

ambia wajomba zako wajitolee! Kwani hauna ndugu Yako dereva kwenye ukoo!?

Watu Wana familia una kuja parody la kujitolea... Kujitolea kwa Nyoko!
 
Me nimemwelewa mleta taarifa, ningekuwa nimepitia NIT ningemtafuta ilo ni dili vijana changamkia wawaza mbali ndio wanajua hii
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom