Upo gd mwamba uskatee tamaa n swala la mda .....hakikisha unajichanganya magereji mbali mbali....onesha uaminifu upewe hata deiwaka na hakikisha unafahamika maana kiukwel mtu kukupa ndinga ya mamilion mtu hujulikan sio rahs ....aza mtaan kwaza na mabos huwa wanataka mtu wanayemwona ana drive several times.....