Dereva wa Canter anatafuta gari

Dereva wa Canter anatafuta gari

YHK geneous

Senior Member
Joined
Jun 24, 2017
Posts
188
Reaction score
122
Habari za humu ndani,

Nina ndugu yangu yeye ni dereva wa canter, kuanzia tani 2, 3 mpaka magari makubwa anaendesha.

Ni mzoefu wa kazi husika kwa miaka mingi, Leseni hai iliyokamilika. Kwa sasa hana gari ya kuendesha, naomba kama kuna mtu anatafuta dereva tuwasiliane.

0757028103
 
Hajawah pata mzinga... mayb wakati anaanza hukonyuma lakina kwa sasa hajawahi...
 
Ndugu zangu bado tunatafuta msaada wenu kwenye hili. Iwe mtu binafsi ana gari au magari yake anahitaji dereva, kampuni au taaasisi yeyote yenye kuhitaji dereva, msisite kuwasiliana nasi...
 
Njia nyepesi ya kupata ni kwa huyo dereva kusema kama ana connection za kazi pia maana atapewa gari tuu bila ya yeye kujua machimbo ya kazi.

Kuna watu wana hela zipo tuu wanatamani hiyo tasnia ya isafirishaji ila wapo stranded sasa huyo dereva aende extra miles aseme nina uhakika wa kukuconnect na wafanya biashara ambapo tutakuwa na uwezo wa kupata fedha kiasi X, hapo mtu atashawishika kumpa gari.

All in All I wish you Good luck guys.
 
Habari za humu ndani,

Nina ndugu yangu yeye ni dereva wa canter, kuanzia tani 2, 3 mpaka magari makubwa anaendesha.

Ni mzoefu wa kazi husika kwa miaka mingi, Leseni hai iliyokamilika. Kwa sasa hana gari ya kuendesha, naomba kama kuna mtu anatafuta dereva tuwasiliane.

0757028103
Leseni iliyokamilikia ndiyo leseni gani hiyo?
 
Njia nyepesi ya kupata ni kwa huyo dereva kusema kama ana connection za kazi pia maana atapewa gari tuu bila ya yeye kujua machimbo ya kazi.

Kuna watu wana hela zipo tuu wanatamani hiyo tasnia ya isafirishaji ila wapo stranded sasa huyo dereva aende extra miles aseme nina uhakika wa kukuconnect na wafanya biashara ambapo tutakuwa na uwezo wa kupata fedha kiasi X, hapo mtu atashawishika kumpa gari.

All in All I wish you Good luck guys.

Nashukuru sana kwa ushauri wako... ushauri mzuri na mkubwa sana kwa upande wetu, ntajitahid kumuuliza n kuweka sawa hapa... ila nadhan kwa uzoefu wake wa kuendesha gari aina hizo ni mwepesi wa kupata kazi na anaconnection kuhusu hizo kazi... maan kwa sasa amekuwa mtu wa deiwaka tuu...
 
Hapo ni kwa maana ya leseni iliyohai, na yenye sifa za kuendesha magari husika...
Kama ukiweka madaraja ya hiyo leseni yake huoni kuwa taarifa inakuwa inajieleza zaidi? Ni maoni yangu tu lakini
 
Back
Top Bottom