Dereva wa bodaboda anasumbua kwenye hesabu ya wiki

Hakuna uhusiano kati ya mambo ya biashara na mambo ya kipumbavu kama kumamatwa, kuugua nk...inatakiwa alete hesabu bila stori yeyote.....
 
Then hizo hali utaishi nazo hadi lini?
 
Yaani uza hiyo pikipiki au tumia kwa matembezi yako,
Usipofanya hivyo hiyo pikipiki utaikosa.
 
Zamani nilikuwa naambiwa hivyo na nilikuwa na huruma sana ila kwa sasa aise sina ninachoelewa zaidi ya kuniwekea kipande changu, vijana wapo wengi wenye uhitaji kwanini msumbuane?
 
Chukua pikipiki yako yasije kukupata yaliyonikuta mm
 
Matajiri wote.tajiri kukupa hata 100.bila ya kuifanyia kazi anaona tabu.vipi usipopeleka hesabu yake?
Tajiri anaweza akawa na vitu vingi ambavyo
Havitumii.ila nenda kamuombe kama atakupa.yuko radhi vioze ila sio akupe.
Vipi siku upitishe hesabu yake?
Mifano ninayo mingi mno...
 
Habari za leo?

Nnahitaji pikipiki ya kufanyia kazi kwa mkataba, mimi ni mwanaume, umri wangu ni miaka 33, nina familia ya watoto 3, nipo Dar es Salaam, Tandika Magorofani.

Ikiwa pikipiki itakuwa mpya basi mkataba utakuwa wa mwaka mzima, na ikiwa Pikipiki itakuwa si mpya tutajadili muda wa mkataba kulingana na hali ya Pikipiki.

Simu :- 0784 645 900

Natanguliza Shukrani.

Hussein.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…