upo wap mkuu me dereva bajaj naomba jazi
Nenda kajaribu uone Moto wake nangaa inavyopaaMaisha rahisi kweli! Hapo tripu 3 za mbezi to korogwe hisabati ya bosi ishapatikana
upo wap mkuu me dereva bajaj naomba jazi
Mm dereva nahitaji bajaji mwenye bajajbanipe Kazi
Usumbufu hasa ni nini mkuu?Sa hivi naziuza. Madereva ni wasumbufu. Ninazo 4. Mbili namba CR nyingine BZ
Usumbufu hasa ni nini mkuu?
Pole mkuu, ila kuachiana bajaji wanaachiana vipi ikiwa hesabu hazijakamilika mkuu? Wanadai mfumo wa mkataba ndio hausumbuagi maana dereva anakuwa na full liability na chombo hivyo kumfanya kuwa makini zaidi.Madereva wasumbufu kwenye hesabu. Na wenyewe wanawapa day worker ajali za kila mara. Mda wote ni kuwasiliana nao utafkri na mimi nimekuwa dereva. Kazi zingine zinasimama. Imagine kwenye madereva 6 wa nne wasumbua. Siku yote inaharibika
Nipe Kazi yakusimamia ninao madereva waaminifuSa hivi naziuza. Madereva ni wasumbufu. Ninazo 4. Mbili namba CR nyingine BZ