Dereva tax | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dereva tax

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by kejof2, Jul 1, 2012.

 1. kejof2

  kejof2 JF-Expert Member

  #1
  Jul 1, 2012
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 1,710
  Likes Received: 349
  Trophy Points: 180
  Mama na mwanae walikuwa
  ndani ya tax usiku
  wakapitishwa mitaa ambyo
  kuna wanawake wanaojiuza
  kukawa na mazungumzo hvi
  mtoto:mama hao watu walio
  cmama pembezon mwa bara2
  wanafanya nn?
  Mama:wanasubri waume zao
  watoke kazni waje
  ... kuwachukua
  dereva tax:c umwambie mtoto
  ukwel kuwa ni malaya na
  hapo walipo wanasubr
  wanaume wasex nao kwa
  malipo.
  Mtoto:mama watoto wanaozaa
  hawa wanawake huwa
  wanafanya kazi gani?
  Mama:huwa wanakuwa
  madreva tax.:shetani:
   
 2. kejof2

  kejof2 JF-Expert Member

  #2
  Jul 1, 2012
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 1,710
  Likes Received: 349
  Trophy Points: 180
  Mlevi mmoja muongo alikuwa
  akiwahadithia washikaji wake
  jinsi alivyokamata swala
  porini Akaanza "Nilimkimbiza
  sana mwishowe nikamkamata
  na kumlaza chini....." Ghafla
  simu yake ikaita akaenda
  pembeni apokee,aliporud i
  akawauliza wenzake "Hivi
  nilikuwa nimeishia wapi?"
  ... wakamwambia "ulimlaza
  chini" Jamaa akaendelea
  "basi nikamkamata,nik
  amlaza chini,nikamvua
  nguo,nikanyonya denda alafu
  nikafanya mapenzi nae"
  Wenzake wakamwambia "aah
  si ulikuwa unazungumzia
  swala!!" Jamaa akadakia
  "Duh..basi nilimchinja"
   
 3. kejof2

  kejof2 JF-Expert Member

  #3
  Jul 1, 2012
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 1,710
  Likes Received: 349
  Trophy Points: 180
  Jamaa flani alikuwa amelala
  na mkewe
  saa nane za usiku
  wakaamshwa na
  mtu akipiga hodi mlangoni
  kwao.
  Wakabishana nani
  afungue....hatimaye
  mume akaenda kufungua
  mlango
  ... akiwa na usingizi
  mwingi,akamkuta
  jirani yake mlevi mlangoni
  JAMAA:"Nini tena mkubwa
  mbona
  kuamshana saa hizi?"
  MLEVI:"Naomba uje
  unisukume"
  Jamaa akajua labda gari la
  huyu mlevi
  limenasa kwenye
  tope,akamwambia "subiri
  nivae viatu"
  Baada ya kuvaa viatu akatoka
  na
  kuanza kuandamana na mlevi.
  Mlevi akaongoza njia mpaka
  kwenye
  mabembea,akakaa kwenye
  bembea
  moja,akamgeukia yule jamaa
  na
  kumwambia "Okay nisukume"
   
 4. kejof2

  kejof2 JF-Expert Member

  #4
  Jul 1, 2012
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 1,710
  Likes Received: 349
  Trophy Points: 180
  [h=6]Jamaa alikuwa safarini
  Kikazi akafika guest
  sikuiya alijiona mnyonge
  Akaamua kumuuliza
  Muhudumu mmoja wa kiume kuwa anashida na demu
  ... Muhudumu: akamwambia mademu wapo ila
  Sisi
  Tunawatambua kwa
  Majina ya magari
  Jamaa: akasema sasa niitie benzi
  Muhudumu: akasema benzi limetoka sasaivi ila limebaki vorkswagon tu nikuitie?
  Jamaa: akasema niitie tu nipo chumba NO13
  BAADA YA MUDA JAMAA AKAGONGEWA MLANGO NA AKAINGIA MWANAUME SHOGA
  Jamaa: akamaind sana akamfata muhudumu na kumuliza kwanini umeniletea shoga?
  Muhudumu: akamwambia iyo ndovorkswagon coz injini yake ipo nyuma boss
  [/h]
   
 5. kejof2

  kejof2 JF-Expert Member

  #5
  Jul 1, 2012
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 1,710
  Likes Received: 349
  Trophy Points: 180
  [h=6]Baada ya MAHUBIRI

  MCHUNGAJI anawaambia waumini wafumbe macho.....akainama na kuingiza mkono kwenye kapu la sadaka na kuiba ela....kuinua kichwa akakutana macho kwa macho na mzee aliyekuwa anaingia......MCHUNGAJI AKASEMA "HERI YAKE YULE ASIYESEMA KUHUSU YALE ALIYOYASHUHUDIAKWA MACHÔ YAKE,mzee nae akajibu "MAANA ATAPATA MGAO WAKE BAADA YA MISA KUISHA
  [/h]
   
 6. mgodi

  mgodi JF-Expert Member

  #6
  Jul 1, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 2,301
  Likes Received: 953
  Trophy Points: 280
  Mkuu umetisha sana, hasa hiyo ya kwanza ya tax driver.
   
 7. Vodka

  Vodka JF-Expert Member

  #7
  Jul 1, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 909
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  nimeipenda hii hahaha
   
 8. Bishop Hiluka

  Bishop Hiluka Verified User

  #8
  Jul 1, 2012
  Joined: Aug 12, 2011
  Messages: 4,100
  Likes Received: 1,424
  Trophy Points: 280
  Duh, hii kali!...:msela:
   
 9. Swts

  Swts JF-Expert Member

  #9
  Jul 1, 2012
  Joined: Feb 5, 2012
  Messages: 3,072
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  ningemng'oa meno uyo mlev
   
 10. grafani11

  grafani11 JF-Expert Member

  #10
  Jul 1, 2012
  Joined: May 24, 2011
  Messages: 15,534
  Likes Received: 342
  Trophy Points: 180
  Umetisha mkuu. HAHAHAHAHAHAHAHHAHAHAHAHA... U made my day.
   
 11. SnowBall

  SnowBall JF-Expert Member

  #11
  Jul 1, 2012
  Joined: Sep 13, 2011
  Messages: 3,067
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  umetisha bro..
   
 12. WAHEED SUDAY

  WAHEED SUDAY JF-Expert Member

  #12
  Jul 2, 2012
  Joined: Jun 24, 2011
  Messages: 7,152
  Likes Received: 1,248
  Trophy Points: 280
  We mkare
   
 13. Lord K

  Lord K JF-Expert Member

  #13
  Jul 2, 2012
  Joined: Feb 17, 2012
  Messages: 213
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Tehe..hii kali mkuu
   
 14. Non stop

  Non stop Senior Member

  #14
  Jul 2, 2012
  Joined: Nov 29, 2011
  Messages: 117
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Umetisha boss,.full kufurahi..
   
 15. H

  HardMartin JF-Expert Member

  #15
  Jul 3, 2012
  Joined: Jun 8, 2012
  Messages: 236
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  mkuu umetisha kinomaa
   
 16. MC babuu

  MC babuu Member

  #16
  Jul 3, 2012
  Joined: Jun 19, 2012
  Messages: 70
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Umetisha uyo mlev wa bembea kama n mm naua
   
 17. Mwanahisa

  Mwanahisa JF-Expert Member

  #17
  Jul 4, 2012
  Joined: Jun 29, 2012
  Messages: 1,397
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Dah mwana nimekukubali, yani huo ubunifu wakuita magari nitakua mwangalifu next tym!
   
 18. piper

  piper JF-Expert Member

  #18
  Jul 6, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 3,260
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Dereva tax analo
   
 19. piper

  piper JF-Expert Member

  #19
  Jul 6, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 3,260
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Imetulia mkuu
   
 20. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #20
  Jul 6, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,852
  Likes Received: 1,131
  Trophy Points: 280
  hahahaaa nimecheka mpka machozi!!!!!!!!!!
   
Loading...