Dereva Tax na Mzungu

Dereva Tax na Mzungu

Django

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2013
Posts
354
Reaction score
147
Dereva wa tax alimpakiza mzungu kwa bahati mbaya yule dereva ukamtoka ushuzi wa kimya kimya. Dereva akadhani mzungu hajashtukia. Jamaa akazuga kwa kuanzisha mazungumzo na kumuuliza mzungu “Je hali ya hewa ya kwetu unaionaje?” Mzungu akacheka kidogo kisha akamjibu “Hali kama itaendelea hivi inaweza ikanyesha mvua ya mavi muda si mrefu”
 
Hahahahha heee mbavu zangu jamani nimecheka kwa nguvu hahahah thanks u make me happy

Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
 
Hahahahahhahahahahaha

Sent from my BlackBerry 9700using Jamie's
 
Duu nipo kwenye daladala nimecheka hadi nimeshangawa,thanks u made my evening
 
Kilichofata dereva kwa kujistukia akajikuta amejamp tena, ila wakati huu ilisika ringtone kabisa, mzungu akasema radi hizo zimeanza mvua ya mav...i itanyesha mda c mrefu..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom