Habar za majukumu wana forum kwa majina naitwa Twaha Mussa ninatafuta gari kwa ajili ya taxi yaani Uber Nina account zote Uber na bolt na ziko active kwa yeyote atakaye hitaji dereva napatikana kwa namba zifuatazo.
Habar za majukumu wana forum kwa majina naitwa Twaha Mussa ninatafuta gari kwa ajili ya taxi yaani Uber Nina account zote Uber na bolt na ziko active kwa yeyote atakaye hitaji dereva napatikana kwa namba zifuatazo
0657099950
Toyota sienta nafikiri ina cc 1496 siyo mbaya inaweza ikafanyakazi japo mmiliki wa gari usimbane sana dereva hesabu iwe nafuu kuendana na uchumi wa TOZO mafuta bei juu account tozo bei juu na mmiliki wa gari ukiwa bei juu hakuna kazi apo itakuwa lawama daily