J James Kimaka Member Joined Feb 27, 2022 Posts 6 Reaction score 8 Jun 8, 2022 #1 Habari za kazi wakuu, Mimi ni dereva, ninahitaji ajira kuendesha gari ya shule, daladala au gari binafsi. Nina vyeti na leseni yenye madaraja A,A2,B,D,C1,C2,C3,E. tafadhali share na wengine kadri uwezavyo. Napatikana kwa namba 0743830515
Habari za kazi wakuu, Mimi ni dereva, ninahitaji ajira kuendesha gari ya shule, daladala au gari binafsi. Nina vyeti na leseni yenye madaraja A,A2,B,D,C1,C2,C3,E. tafadhali share na wengine kadri uwezavyo. Napatikana kwa namba 0743830515
mjingamimi JF-Expert Member Joined Aug 3, 2015 Posts 45,751 Reaction score 55,792 Jun 8, 2022 #2 Una cheti Cha NIT. Kama unacho kuna makampuni makubwa Wana kuchukua. Kingine jaribu school buses
Mijadala Migumu JF-Expert Member Joined Apr 17, 2022 Posts 397 Reaction score 455 Jun 8, 2022 #3 Mungu akutangulie Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
feitty JF-Expert Member Joined Jul 10, 2015 Posts 2,594 Reaction score 4,198 Jun 10, 2022 #4 Kuna hizi jaribu bahati yako Mkuu
Talha JF-Expert Member Joined Nov 11, 2021 Posts 202 Reaction score 224 Jun 10, 2022 #5 mjingamimi said: Una cheti Cha NIT. Kama unacho kuna makampuni makubwa Wana kuchukua. Kingine jaribu school buses Click to expand... Na achek ajira portal, kuna ajira kibao za madereva kma ana kidhi vigezo zitamfaa
mjingamimi said: Una cheti Cha NIT. Kama unacho kuna makampuni makubwa Wana kuchukua. Kingine jaribu school buses Click to expand... Na achek ajira portal, kuna ajira kibao za madereva kma ana kidhi vigezo zitamfaa
X_INTELLIGENCE JF-Expert Member Joined Mar 25, 2014 Posts 10,700 Reaction score 14,768 Jun 19, 2022 #6 mjingamimi said: Una cheti Cha NIT. Kama unacho kuna makampuni makubwa Wana kuchukua. Kingine jaribu school buses Click to expand... makampuni gani hayo...? mtajie afuatilie
mjingamimi said: Una cheti Cha NIT. Kama unacho kuna makampuni makubwa Wana kuchukua. Kingine jaribu school buses Click to expand... makampuni gani hayo...? mtajie afuatilie
X_INTELLIGENCE JF-Expert Member Joined Mar 25, 2014 Posts 10,700 Reaction score 14,768 Jun 19, 2022 #7 feitty said: Kuna hizi jaribu bahati yako MkuuView attachment 2256058 Click to expand... hii kampuni inalipa vizuri kweli
feitty said: Kuna hizi jaribu bahati yako MkuuView attachment 2256058 Click to expand... hii kampuni inalipa vizuri kweli