Dereva na ajali mbaya

Dereva na ajali mbaya

MRSH

Senior Member
Joined
Dec 27, 2012
Posts
104
Reaction score
21
Dereva mmoja baada ya kuua watu 25 kwa ajali ya gari,alikamatwa na Traffic na mahojiano yakawa kama ifuatavyo: Traffic: Wewe ni dereva gan?umepitia kwel driving school, Dereva:Ndio mkuu!Nimepitia,labda nikuulize swali kidogo.Traffic:haya heb niulize huo ujinga wko!Dereva:Wewe ukiwa kama dereva,upo kwenye speed kali,ghafla ukamuona mtu mmoja upande wa kushoto na watu 24 upande wa kulia,je wewe ungefuata nan?Traffic:Swal gan sasa hilo?nitafuata yule mmoja.Dereva:Unaona eeh?hata nami nilifanya hivyo ila alidhan mi ni mjinga sijamuona, yeye akajifanya kukimbilia kwa wale 24 wa upande wa pili,na mimi nikamfuata huko huko!!hahahahaaaa
 
hahaha hakutaka kushindwa mpaka ampate yule mmoja
 
Yaah,jamaa alikuwa anampelekea tu!hahahaaaaaa.huo ndo ubaya wa elimu,si imeshaandikwa?
 
Back
Top Bottom