Ernest lukindo
Senior Member
- Jul 29, 2015
- 162
- 116
Habari Wakuu! Natafuta kazi ili niweze kujikwamua Kimaisha, Mimi ni Dereva mzuri mwenye Uzoefu wa Kuendesha vyombo vya moto leseni yangu ina madaraja yafuatayo A, A2,B,D,C1,C2,C3 na E hivyo nahitaji Bajaji au Gari kwa ajiri ya Hesabu au Mkataba,Vilevile Naweza Kumuendesha Boss(Kwa wale wanaopenda kuendeshwa) na kama Boss atataka kiingie chombo chake(Gari) UBER au TAXFY(BOLT) Account ninazo na zipo Hewani;
Mawasiliano yangu ni kama ifuatavyo:
Phone-: 0654722512
E-mail:
hollyjoyous85@gmail.com
Napatikana MBEZI BEACH-DSM
Asanteni Sana
Mawasiliano yangu ni kama ifuatavyo:
Phone-: 0654722512
E-mail:
hollyjoyous85@gmail.com
Napatikana MBEZI BEACH-DSM
Asanteni Sana