Dereva mzoefu wa kutumia network ya Uber anahitajika haraka

Dereva mzoefu wa kutumia network ya Uber anahitajika haraka

SOKO LA MAGARI

Senior Member
Joined
Oct 26, 2014
Posts
115
Reaction score
66
DEREVA MZOEFU WA KUTUMIA NETWORK YA UBER ANAHITAJIKA HARAKA

Dereva aliyewahi kutumia UBER kwa muda usiopungua mwezi mmoja na mwenye ujuzi wa kuendesha kwa zaidi ya miaka mitatu na awe na leseni anahitajika haraka:

1. Awe na barua toka serikali za mtaa anakoishi
2. Wadhamini wawili wenye ajira hasa madereva wanao mjua vema
3. Awe anaishi mkoa wa Dar es Salaam
4. Umri kati ya 25 yrs hadi 50 yrs
5. Awe amesajiliwa na hana tatizo lolote UBER

Muda wa tangazo miezi minne tu tangu leo

Mawasiliano jibu hapa chini au PM

LEMGO la hii thread n kwa wale tu WAZOEFU WA UBER sio wapya au wanaotaka kujiunga

KARIBUNI SANA
 
DEREVA MZOEFU WA KUTUMIA NETWORK YA UBER ANAHITAJIKA HARAKA

Dereva aliyewahi kutumia UBER kwa muda usiopungua mwezi mmoja na mwenye ujuzi wa kuendesha kwa zaidi ya miaka mitatu na awe na leseni anahitajika haraka:

1. Awe na barua toka serikali za mtaa anakoishi
2. Wadhamini wawili wenye ajira hasa madereva wanao mjua vema
3. Awe anaishi mkoa wa Dar es Salaam
4. Umri kati ya 25 yrs hadi 50 yrs
5. Awe amesajiliwa na hana tatizo lolote UBER

Muda wa tangazo miezi minne tu tangu leo

Mawasiliano jibu hapa chini au PM

KARIBUNI SANA
Cc Mr Kazi
 
mkuu nina mdogo wangu anavigezo vyote please naomba mcheki 0652012008
 
Je kwa madereva wenye uzoefu lakini hawajawai kuendesha au kutumia network ya ubba tunafanyaje?
 
Je kwa madereva wenye uzoefu lakini hawajawai kuendesha au kutumia network ya ubba tunafanyaje?
Inawezekama ila pana process kdg ndefu na gharama, kuna kusajili + semina + muda ili kuelewa kutumia network practically
 
Nina sifa ulizoweka hapa na nipo tayari kuingia mkataba wa kazi wakati wowote mkinihitaji.

Namba yangu ya simu ni 0659310000
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom