Dereva Mzoefu na Muaminifu Anapatikana.

Dereva Mzoefu na Muaminifu Anapatikana.

Joined
Sep 27, 2015
Posts
57
Reaction score
52
Hello JF Members.
Husika na kichwa cha habari hapo juu.
Kwa mwenye mahitaji ya dereva muaminifu na mwenye uzoefu, basi amepata.

SIFA ZA DEREVA
-Ana uzoefu usiopungua miaka 10 katika uendeshaji wa magari makubwa na madogo, na hajawahi kupata/kusababisha ajali.
-Kiwango cha elimu ni darasa la saba.
-Ana leseni Class B, D &E
-Anapatikana Dar es Salaam, wakati wowote kuanzia sasa.

Kwa uhitaji, waweza kuwasiliana nae kwa namba +255 712 839 758

Akhsante

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Elimu je?
 
Elimu pia hizo sifa bado hapo ina bidi uwe na class C na at least uwe umepitapita NIT na ufundi kidogo Mkuu vinginevyo ajira hiyo itakuwa ngumu ataendesha yoriyori
 
Back
Top Bottom